Bukobawadau

BUKOBAWADAU KATIKA PITA PITA KATIKA MAENEO MBALI MBALI YA NCHI YETU

Hapa ni maeneo ya Busisi kivukoni kuelekea mwanza.magari yakiwa yanasubilia yaweze kuvushwa.
Shughuli za biashara nazo zikiendelea kama kawaida maeneo ya kivuko hapo Busisi mwanza.
Barabara iendayo mwanza hapa nikatikati ya sengerema na geita mwanza
Mara ghafla basi tulilokuwa tukisafiria liligoma kwenda hii nikutokana na pump kuharibikia
Abiria wakiwa wamekaa chini kutafakari baada ya basi tulilokua tukisafiria kupata tatizo,lakini baada ya masaa kadhaa tuliweza kuletewa basi lingine na safari ikaendelea kama kawaida
Next Post Previous Post
Bukobawadau