Bukobawadau

STAR CATCHER 2011 FINAL:Oxford Uk Mtoto wa mdau lucy Gift ajinyakuli Paund1000.00

Mchakato ukiendelea katoka kwenye stage.
Pichani ni Dada lucy akiwa na dada yake na watoto wao
Wakipongezani baada ya kupewa matokeo hii inaonyesha namna vipaji vilivyo sheheni mkoani kwetu.
Pichani ni mdau Lucy Gift ambaye kundi la mwanae limeibuka kidedea siku ya jumamosi.
Namna shughuli ilivyo kuwa kwenye kusaka vipaji na mtoto wa mdau Lucy Gift kupata kujiptia bonge la kitita.
Next Post Previous Post
Bukobawadau