Bukobawadau

YALIO JIRI KAITABA STADIUM;Bakoba Fc yafanya mauwaji!!!!!

Mashindano haya yanalengo la kueneza sera ya Polisi shirikishi,kama unavyo elewa ni mkakati wa kitaifa,kama unavyo waona pichani wapo uwanjani kuakikisha hali ya usalama zaidi ila kikubwa ni juu ya swala zima Raia na Polisi wachukuliane kama mtu na swaiba wake japo timu yao iliondolewa mapema.
Pichani ni Mdau Ndg Ernest Nyambo (port officer)mlezi wa Bakoba Fc,mwanaharakati wa michezo kama alivyo kutwa na camera yetu akifatilia mpira unavyo endelea na mda huo anafikilia ni maneno yapi atakayo ongea iwapo timu yake itashinda ,yeye ndio msemaji na mdhamini wa timu ya Bakoba.


BUKOBAWADAU BLOGSPOT TUNAPENDA KUWATAKA RADHI WADAU WETU KOKOTE PALE MLIPO YA KWAMBA HABARI HII NI SAWA NA NIMWENDELEZO WA POST INAYOFATIA KWA CHINI JUU YA SELEWI CUP, ILA WAKATI TUNAPOST HABARI HII ILITOKEA ITILAFU YA MTANDAO IVYO ZIMEPISHANA KIDOGO NA KUONEKANA KAMA HABARI MBILI TOFAUTI.

PIA TUNAWASHUKURU SAANA KWA USHIRIKIANO MLIONAO KWETU NA TUNAOMBA MZIDI KUTOA MAONI YENU!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau