Bukobawadau

IBADA YA IDD MJINI BUKOBA;yafanyika kwenye viwanja vya shule ya Jaffery

Ibada ikiendelea
sheikh Dr Sule akiendelea kutoa mawaidha
Mzee Ayubu Kagile(mwenyekiti Bakwata Mkoa)
Mkuu wa Mkoa Ndg Mohamed Babu akiwaasa jambo waumini waliojitokeza
wahumini katika hali ya usikivu wakipewa darasa
Sheikh akipitia pitia michango ya kuendeleza uislamu kbla ajaweka mipango ya kuakilisha kwa viwango mahalumu
Dr Sule akifanya kutoa illimu juu ya sadaka
Upande wa akinamama
Bukobawadai tunawatakia wadau wote IDD MUBARAK
Next Post Previous Post
Bukobawadau