Bukobawadau

Mamia wamzika Bi Madina Sabah(Mama Feisary)Mkazi wa Miembeni

Mwili wa Marehemu ukisindikizwa makaburini

Naonekana Mc nikiwa close na mtoto wa mwisho wa marehemu ajulikanae kama Obeid

Makaburi ya kishenge

Mwili wa marehemu ukistiliwa

Mdau Mohamed Kassim katika ushiriki

Shekh Haruna akiongoza mazishi

Pichani anaonekana Jarudi Mtoto wa Marehemu katika simanzi kubwa

Pole sana Taimuli,poleni sana wafiwanyote!!!sie kama bukobawadau tunasema INNALILLAH..!!!Next Post Previous Post
Bukobawadau