Bukobawadau

Mzee Raza Fasal (BGT) amkaribisha Mkuu Wa Mkoa Ndg Mohamed Babu kituo cha Izaa's

Mzee Radha akijadili jambo na mdau
Wanafunzi wa madarasa ya Izaa's wakisubili kuagana na mkuu wa mkoa wa Kagera Ndg Mohamed Babu alipowatembeleahiyo jana.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Ndg Mohamed Babu nje ya lango la Izaa's medical Project


Next Post Previous Post
Bukobawadau