Bukobawadau

Makirikiri OUT Kagasheki Cup:Watwishwa ndoo 2 na Bakoba

Shabiki mkubwa wa Kitendaguro katika hali ya furaha.
Kivutio kikubwa ni wingi wa watu wanaojitokeza uwanjani
Jukwaa la mchanganyiko lilivyo shona
Ikatokea utata wa penalti ikawalazimu askari polisi kuingilia kati.
Jukwaa la Bilima hali ilikuwa hivi wakiwapa saport kubwa wanamakiriliri ila ndio kama hivyo unaambiwa dua la kuku halimpati mwewe!
Anaitwa Byamungu wa Buye,yeye ni shabiki bakoba na bakoba ndio yeye!!!


Next Post Previous Post
Bukobawadau