Bukobawadau

Hapa na Pale na Camera yetu

Mdau Yunusu Kambuga kama alivyo kutwa na Camera yetu.
Mdau Said Bunduki kushotona katikati ni Mdau wa Bilele ndg Abdul Bonge na mwisho ni Mdau wa Bakoba Ndg Ernest Nyambo wakitambiana,kufurahishana huku wakibezana na kuomba timu zao zikutane na kweli zitakutana nusu fainali ivi punde tu
Mdau wa Serengeti Mjini Bukoba Ndg Mganyizi kushoto na kulia ni Mkurugenzi wa Linas night club na director wa linas company Limited Ndg Leonard Mtensa.

Next Post Previous Post
Bukobawadau