Bukobawadau

Miaka kumi ya kuchangia Kwenye Tasnia Endelevu ya Kahawa Tanzania

v class="separator" style="clear: both; text-align: center;">
Mkuu wa Mkoa wa K agera Ndg Mohamed Babu akikata utepe

Wadau wa kilimo wakiongozana na Mkuu wa Mkoa katika kukagua zana za kilimo na vibanda vya mazao ya aina mbalimbali
Kahawa mbichi na iliokomaa
Kahawa kavu iliokomaa ikiwa katika hali ya kuhuzwa
Tanica kahawa bora ulimwenguni inapatikana mkoani Kagera.
Trekta la kulimia
Mashine ya kukoboa kahawa
Manager wa KCU 1990 (LTD) Ndg Ngaiza akitolea jambo ufafanuzi kuhusiana na zao la mbuni na changamoto zinazojitokeza
Pichani Mh Babu Mkuu wa Mkoa Kagera akiwasikiliza wadau kwa ukaribu zaidi
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa Mstaafu Generali Kiwelu
Sehemu ya wadau mbalimbali
SHUGHULI NZIMA ILISINDIKIZWA NA BURUDANI YA NGOMA.


Next Post Previous Post
Bukobawadau