Bukobawadau

TALALILAAAA!!!!!!David Jairo ghafla asimamishwa tena Kazi!!!

Inaripotiwa na kuthibitishwa, kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Bwana David Jairo amesimamishwa tena kazi. Taarifa hii imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Bw. Philemon Luhanjo . Jairo amesimamishwa tena ili kupisha uchunguzi wa tuhuma anazokabiriwa nazo.CHANZO:MJENGWA
Next Post Previous Post
Bukobawadau