Bukobawadau

Wadau walivyo mfariji Dada Salome(Mama Chui)katika msiba wa baba yake!!!

Anaonekana mfiwa Salome(katikati) akiwa na wadau nyumbani kwake usiku huu
.
Da Lilian Goronga na Bi Amina marafiki wakubwa wa Da Salome wakijaribu kumliwaza mfiwa
Bi Maisala(Mama Parvin|) na Bi Lilian Peter(mwise)Katika hali ya majonzi.
Anaitwa Maua Ramadhani akitekeleza wajibu pande za jikoni
Da Lilian Peter(Mwise|)katika ku takecre panapo husika!!!!!
Mdau Jamal Kalumuna (Jamco)
Ndg Fidels,Ndg Mtnsa Leonard,,Ndg Mark Ngongi na Ndg Eugin Kabendela katika kuonyesha umoja kama wana pamoja.
Anaonekana Ndg Ernest Nyambo kushono n Ndg Peter Raphael Mgisha wakijadili jambo.
Mdau Gilbart George(s-smat)na Mdau Mark Dommy wa Masubo phones nao katika hili na lile na kama ujuavyo ndg yetu mfiwa Dada Salome (mama Chui)naye pia ni mfanyakazi wa Masubo Phones.
Mh Matete katika mojawapo ya hatuwa.
Ilifika wakati wa wadau kupeana utaratibu mzima na hapo Ndg Ernest Nyambo(mwenyekiti)akitoa utaratibu ama kuwajuza wadau ,Na alianza kwa kuwashukuru wadau waliojitokeza kwa mda huo na kusema:Msiba umetokea jijini kunako giza akimaanisha Dar as salaam,na Maiti itasafirishwa na kufika mjini Bukoba siku ya Alhamisi na Mazishi yatafanyika siku hiyo hiyo Kijijini Bwanja ni wilaya ya Nkenge yapata km 20 nje ya Mji wa Bukoba.
Ndg John Gonza na Ndg Self Mkude
Mark Ngongi na Ndg Eugin.
Brother Robbin katika harakati
Dada Sarah Precission
Next Post Previous Post
Bukobawadau