Bukobawadau

AJALI YA GARI MAENEO YA KASHURA MJINI BUKOBA :Mlima ni tatizo!!!!

Gari aina ya scania imepata ajari mda mfupi uliopita majira ya saa 11 jioni.Gari hili lenye nambari za usajiri (T 861 AFD)ni mali ya kampuni ya vinywaji baridi ya Nyanza bottling.
Ajari hii imetokea umbali wa kilomita 2 nje kidogo ya mji wa bukoba barabara ya kashura.

Inasemekana chanzo cha ajali hii ni kutokana hari ya gari kuwa tete na kushindwa kupanda mlimao huo likiwa limebeba mzigo wa soda
Nikiwa bado eneo hilo la tukio nimeshuhudia Gari jingine ain ya Fusso likiwa linashindwa kupanda mlima huu, nakuitaji nguvu za ziada kutoka kwa wadau wapita njia na mashuhuda wa ajari
Tukio limetokea kati ya njia panda inayo elekea Warkgard Hotel na Rugambwa shule ya sekondari
Maeneo ya barabara ya Kashura yalivyo hivi sasa kijani imeenea
Next Post Previous Post
Bukobawadau