Bukobawadau

BUKOBAWADAU TENA KATIKA NEW SEGMENT YA MATUKIO KATIKA PICHA........"VIONGOZI WETU"

MH.MAKAMBA AKIWA KATIKA PROCESS ZA KUCHUKUA NGAMAA
HII IMEKAAJE WADAU? Mbunge Wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA), Mhe. Zitto Kabwe Akipata Madafu Nje Ya Ofisi Ndogo Za Bunge Jijini Dar Es Salaam Tar. Machi 16, 2011.
Pichani ni Rais Kikwete akifurahi na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Mhe. Zitto Kabwe, huku akiwa katika vazi la asili ya kabila la Waha wakati wa sherehe za uzinduzi wa barabara Mwandiga-Manyovu yenye urefu wa km 6. Tarehe 4 Julai 2011.
Waziri wa Ujenzi John Magufuli (kulia) na Balozi wa Japan Nchini Tanzania Hiroshi Kanagawa Wakicheza Rumba Katika Sherehe za Uzinduzi wa Upanuzi wa Barabara ya New Bagamoyo Eneo la Mwenge Mpaka Tegeta.
(from Frank Makange)
Next Post Previous Post
Bukobawadau