Bukobawadau

Harusi ya Fortunatus Mtayabalwa na Bi Philomena Chini ya Mdau Innocent (Don king)

Mr&Mrs Fortunatus Mtayabalwa yaani Mr Fortunatus na Bi Philomena katika harusi iliofanyika jana ukumbi wa linas night club
Don king kushoto akiwa na wadau wenzake harusini
Mr Hassan kushoto miongoni mwa mashuhuda wa tukio zima
Mr&mrs Matete
Innocent (Don king)akimkabidhi mdogo wake zawadi ya pesa tathilimu sh.milioni moja

Lilian Peter na Hope Kasimbazi
Jinsi ukumbi wa Linas ulivyo enea
Bi Fatuma kushoto na BiZakia Kassim
Wadau wakubwa Mr &mrs Frenk
Mdau Ramadhan Kambuga na ndg Dominic Nyambogo
Ndg Evody (dogo ditto)katika mtakato
Bi Sophia Hamad
Mr Ray Chelsea kaka mtu katika kufatilia tukio zima
Kushoto ni Ibra Mhazi picha ya pamoja na Mama Mzazi Mama Mhazi
Katika hali ya utulivu pichani ni Mh Steven Byabato
Wageni upande wa Bibi Harusi wenyeji wa Singida katika kutoa shukrani
Mwalimu Moha Muhamed

Mwana Zaire na Rehema Ramadhani
Mr Ernest Nyambo na Mdau RmK Mdhamini wa bukobawadau

When 2 become 1
Wazee wa Singida wakimuingiza mkwe wao katika maswala ya hasili

Pichani ni wazazi wa Fortunatus Mr& Mr Mtayabalwa

Mr&Mrs Dickson
SMART BOY DOGO DITTO
Fatuma&Zakia.

BUKOBAWADAU BLOGSPOT TUNATOA PONGEZI KWA MAARUSI HAWA VILEVILE TUNAWAJULISHA WADAU WOTE KUWA KUWEKA HABARI AU PICHA ZA TUKIO LOLOTE NI SWALA LA MAELEWANO IVYO MSISITE KUWASILIANA NA SISI KWA NAMBA ZETU HAPO KWENYE PROFILE!!!!NI MC BARAKA(DJ COOL MC)&SIR.INC (MY YOUNG BOY)
Next Post Previous Post
Bukobawadau