Bukobawadau

CHONDE CHONDE......ULEVI.....NOMAAAAAA!!!!

Hivi ndivyo camera yetu ilivyo mkuta mdau mmoja akiwa kapiga mtungi chakari hana hili wala lile isipokuwa kukoloma tu!!!!akiwa kajiegesha kando kando ya barabara ya Tupendane jirani kabisa na Bar maarufu Ijulikanayo kwa jina la Tibyatulwa Inn,kwa maana halisi ya jina hilo ndio kitu kinapelekea jina la mdau huyu lisitajwe.
Next Post Previous Post
Bukobawadau