Bukobawadau

KASI YA SIMBA YAPUNGUZWA YATOKA SARE YA 1-1 NA KAGERA SUKARI:ni bao la kwanza Simba kufungwa msimu huu!!!!

Kikosi cha wachezaji wa Simba kilicho kabiliana na Kagera Sukari hii leo na kutoka sare ya bao 1-1

Kikosi cha Kagera Sukari

Wachezaji wa Timu zote mbili wakisalimiana

Benchi la ufundi la Msimbazi

wachezaji wa Kgera sukari wakielekea chumba cha mapumziko ili kupata awaidha zaidi

Jukwaa la Mashabiki wa Kagera Sukari

Mlinda mlango wa Simba Sport Club Juma K Juma wa katikati

Shabiki Mkubwa wa Simba Bi Judy.
Kikundi cha Ngoma cha kagera sukari kikitia nakshi uwanjani

gori
Mdau wa soka Kushoto ni Farid Al Kusaibi na Mdau Ernest Nyambo wakifatilia soka kwa ukaribu
Ni abdurazak Majid wa 88.5 Kasibante Fm Radio akiendelea na wajibu wake wa kutangaza soka

Mgeni wa heshima Meya wa Mji Mh.Anatory Aman mda mchache baada ya kuwasili uwanjani

Pembeni anaonekana Mr Kashoga na aliye simama ni Ndg Sunday
Mdau Nkurukumbi Afidhu Kalugila

HIVI NDIVYO MASHABIKI WA SOKA WALIVYO JITOKEZA UWANJANI KAITABA

Mlangoni yupo Said Mshamu akikaguwa tiketi
Next Post Previous Post
Bukobawadau