Bukobawadau

ILIVYOKUWA PARTY YA BAKOBA USIKU WA JANA

Kombe la Mbunge Mh Hamis Sued Kagasheki lililochukuliwa na timu ya Kata Bakoba ikiwa ni mara ya pili,hapo limetiwa nakhshi mbalimbali siku ya party ya wadau wa bakoba kwa pamoja iliofanyika usiku wa jana kwenye ukumbi wa wazi linas night Club
Kila mchezaji aliongozana na Mwenzake,Pichani n kolikipa namba 2 wa Bakoba kwa jina ni Abuhi akiwa na dada yake
Wadau mbalimbali waliweza kujumuika anaonekana kiongozi na msemaji wa Timu Ndg Ernest Nyambo (PORT officer)akitoa maelekezo kwa mdau Bi Maua Ramadhani (katikati)na kulia ni mwana nzengo wa Bakoba Said Bunduki (mnyamwezi)
Namna fulani hivi kiasi inapendeza kama unavyo weza kujionea
Ni Mh Bigambo akimkaribisha Mh Ibrahimu Maburuki

Safi sana,babu kubwa ndicho kinacho endelea katika kupongezana kama ya ksalimiana na meza kuu
Ndg Msese na Abdulrazak Majid wa 88.5 kasibante Fm Radio


Mr Jamal Kalumuna na Optaty Kajuna(katibu)
Kiongozi wa itifaki Uncle Jimmy akitoa nasaha zake

Ikafaka wasaa kwa ajiri ya chakula ikatangulizwa sala ya kuombea chakula
Wadau wakiendelea kupata chakula
Wadau wakipiga picha na Kombe
Bushelele ikichukua kasi
Next Post Previous Post
Bukobawadau