Bukobawadau

MVUA KUBWA YASIMAMSHA SHUGHULI ZA WATU MJINI BUKOBA HII LEO

Ilikuwa vigumu kukatiza kwenye daraja la mto kanono lililopo barabara kuu ya Hamugembe
Picha ya baiskeri baada ya mwendeshaji kuvushwa sehemu isiopitika kirahisi
Camera yetu iliweza kushuhudia Kituo cha mafuta cha Total kilichopo katikati ya mji kikiwa hakitoi huduma kwa takribani masaa manne
Next Post Previous Post
Bukobawadau