Bukobawadau

LIVE MDA HUU NDANI YA LINAS:Ngwasuma wakipasha pasha na wadau wakizidi kumiminika ukumbini


Mdau Godi Katemana akichukua tiketi yake kuelekea ukumbini
Tayari mdau Fedelis Kaiza na Ndg Simba wamepata sehemu ya kujiegesha mapema

Ghafla camera yetu ikakutana na mda wa siku nyingi akiwa amechill na baadhi ya wasanii wa Ngwasuma naye ni Mwingine bali ni Wilbroad Mtore maarufu kama (Msouth)on the way to Buganguzi
Mc Baraka blogger bukobawadau picha ya pamoja na Totoo Kalala wa Mwisho kulia
Sehemu ya wadau wakiwa wanasikilizia na kila baada ya muda tutakupa kila kinacho endelea ndani ya linaz night club
Kushoto ni Mdau George
Mdau Faridi Rugusha akimiminika ukumbuni
SHOW YA UTANGULIZI UNAAMBIWA C MCHEZO
Bi Zakia Kassim namna alivyo chomoka hii leo!!!

Kama kawaida Mainda Kssim naye ndani ya Nyumba
Mdau Trayford Luangisa
Ukumbi wa Linas unauwezo wa kuchukua wadu karibia 3000 kwa kukaa hizi ni baadhi tu ya kona mbalimbali
Benny Mlokozi (kushoto)ambaye ndiye mdhamini wa onyesho hili mjini bukoba
Dj Cool Mc(mc baraka)blogger picha ya Pamoja na Patcho
Katika kufatilia kinacho kwa ukaribi zaidi anaonekana mdau Jamal Kalumuna
Mdau Mc Matovelo akinunua CD ya Ngwasuma
Mdau kutoka USA Nazzir Issack naye alikuwepo,kikubwa kilicho mvutia ni ile hali ya kuona jitihada zangu mie Mc za kuapload matukio papo kwa papo na kukufanya wewe mdau kuona kitu live kupitia bukobawadau.Hapo kanipitia mezani nikiendeleza libeneke hili
Mdau Naziru akisogea kumsalima mtu mzima Benny Mlokozi
Benny Mlokozi na Naziru Issack
Mr&Mrs Muhammed Kikwemu
Namna shughuli ilivyo kuwa jukwaani
Ngwasuma wakiendelea kuwajibika
Kama anatoa saruti ni Nyoshi Elsaadat akipokea ruzuku kwa style ya aina ya kipekee kutoka kwa mdau Benny Mlokozi takribani sh Mil 2 zimeteketea kwa kuwatunza Fm Academia...kiukweli mambo haya kwa Bukoba ni Mageni
Mie na Camera yangu mwanzo mwisho ili nisipoteze uhalisia wa mambo!!!hapo Benny Mlokozi akiendeleza Ulangila!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau