Bukobawadau

NGWASUMA WAWASHA MOTO JIJINI MWANZA KESHO NI NDANI YA LINAS CLUB MJINI BUKOBA;wadau wa bukoba wasakata' kiwanyewanye'!!!!

Wadau wakisebeneka na Ngwasuma jijini mwanza
Mdau Erasmus George Kadanke wa Misifa akifanya kuteleza na Bi Asimwe Katalaiya
Mtu mzima Patcho akilikabili jukwaa
Kushoto ni Nyoshi El Sadath kiongozi wa Ngwasuma na kulia ni Papaa Mkulu (Mkubwa)Justuce Rugaibura
Patcho picha ya pamoja na mdau Asimwe
Wadau wakielekea ukumbini

Juu ya hili bukobawadau blogspot tunachoweza kusema ni kuvutiwa na ile hali ya wadau wa mjini kutoka simple katika shughuli hizi!!Sasa kazi kwenu wakazi wa Manispaa ya Bukoba hayawi hayawi sasa yamekuwa....shughuli yenyewe na mpango mzima ni kesho Jumapili(LINAZ NIGHT CLUB-KISIMA CHA BURUDANI)
bukobowadau blogspot ni sehemu ya wadhamini

Big thx kwa Kaka Mkuu kutufikishia picha hizi kwa mda mwakada kabisa!
Next Post Previous Post
Bukobawadau