Bukobawadau

Hapa na Pale na Camera yetu Mda mchache Uliopita!!!!

Bi Rukia Kassim,kama alivyo kutwa na Camera yetu mitaa y kati hii leo
Kijana wa Kitaa Najim Munaf akiwa kaegesha kijiweni
Barabara ya Jamhuri nje ya Soko maarufu kama ASSECDO wakiendelea (kutega) kujitafutia riziki kama kawaida
Wanakikundi toka maeneo ya Hamgembe wamekutwa mitaa ya sokoni wakifanya kampaini juu ya kukomesha kuwanyanyapaa watu wenye vvu!!!.
Bukobawadau tumeipenda hii japo nimesikitishwa na kuona wadau mbalimbali wakionekana hawana mpango kutokana na kile kilichop kuwa kikiendelea
Next Post Previous Post
Bukobawadau