Bukobawadau

NIKUBALIE NI JINA LA TRACK TOKA KWA VUMBE FT SAJNA;Track hii imechukua kasi radio station mbalimbali nchini (ni chini ya Tang Records)

Msanii 'Vumbe' wa hapa hapa (atoka na nikubalie)akimshirikisha Sajna.Ebwana wadau ni muhimu kusikiliza na kufatilia track hii c kwa uzuri tu na maadhi yenyewe!!kikubwa ni ujumbe uliomo.
Wimbo huo umetengenezwa na kupikwa kwa kick na panch tulivu 'TANG RECORDS'
Next Post Previous Post
Bukobawadau