Bukobawadau

Safari ya Mwisho ya Mzee Wetu Marehemu Ponsian Rushekya-Alikuwa mtu Maarufu sana Africa Mashariki na Kati.

Wakati unafika tu kwenye eneo la msiba maeneo ya Kitobounapokelewa na utitiri wa Magari kama unavyojionea
Hili ndilo gari lililobeba mwili wa Marehemu,Gari hili limetoka nchi jirani ya Uganda
Picha ya juu ni baadhi ya waombolezaji pia waweza kumuona Ndg Rahimu Kabyemela,Ndg Mtensa Leonard na Mr Deo Rugaibula
Nyumba ya Milele ya Mzee wetu, mdau mwenzetu,mchekeshaji Marehemu Ponsian Rushekya.
Bukobawadau inawapa pole wale wote waliofikwa na msiba huu mwenyezi Mungu aiaze roho ya marehemu mahala pema peponi
Amen.


Bukoba wadau tunatoa pia shukrani kwa mdau Ernest Nyambo kwa kutufikishia picha hizi.
Next Post Previous Post
Bukobawadau