Bukobawadau

WADAU WAKARIBISWA CHAKULA CHA USIKU:wamchangia Hope Kasimbazi Million 20!!!!!

Bi Asimwe Katalahiya na Bi Rehema Ramadhani
Hope Kasimbazi akiwakaribisha wadau waliojitokeza na kuweza kuwaeleza dhamila na kusudio la kuwakaribisha
Mdau Maua Ramadhan rafiki wa karibu sana wa Bi Hope Kasimbazi hapo akijinadi kwa kusema ushoga ni, kazi na kwamba kwa kuwa yeye na Hope wameshibana anamchangia kiasi cha Shilingi laki tano taslimu (500,000).
Mr Chabuluma akipata chakula
Wazazi na walezi wa Hope pichani ni Mr&Mrs Kasimbazi
Bi Rukia Kassim,picha ya pamoja na Ndg Byabato wakipata Chakula
Mama Eunice Rwangisa
Hope Kasimbazi akiwa na Betty Lweyendela
Mc Matovelo na Mkurugenzi Mtensa Leonard
Meya wa Manispaa ya Bukoba Mh Anathory Amani
Picha wadau kwa upendo umoja pamoja
Bi Hope Kasimbazi na rafiki yake wa karibu Bi Lilian Peter (Tigo)
Ndg Dominic na Ndg Ernest Nyambo
Wadau hawa pia walikuwepo pamoja na Ndg Pajero
Mh Matete na Ndg Mgisha
Bi Maisala na Bi Eliza Kikoito
Ndg Ayaz na mdau Ishengoma bilikwija
Next Post Previous Post
Bukobawadau