Bukobawadau

Wadau Mbalimbali kwenye Shughuli ya Hope Kasimbazi wameweza kutekeleza hadhima kwa kiasi kikubwa!!!

Mie Mwenyewe Mc Baraka (kushoto) kama blogger wa bukobawadau nilikuwa kama mualikwa na ikiwa nafatilia hili na lile ili kukujulisha wewe mdau wangu msomaji,kulia kwangu ni Inspekta Mwinyi
Meza kuu wazee wakazi wanaharakati katika kuakikisha mambo yanakwenda sawia kabisa kutoka kushoto ni ndg Matete,Ndg Matovelo,Ndg Mgisha na Bi Mainda
Bi Jenny Wa MTK
mdau Dominic na Ndg Ernest Nyambo
Mtaalamu John Gonza na wa Nyuma ni Amin Abdul
Mh Meya wa manispaa ya Bukoba Mh Anthory Aman
Aliyesimama ni Lilian Peter Katika kuakikisha wadau huduma inawapafia
Kijana Maharufu Handsome boy
Next Post Previous Post
Bukobawadau