Bukobawadau

Ajali hivi punde tu Maeneo ya Kashozi Road!!!!!

Ajali hii imetokea hivi punde maeneo ya CRDB bank ,ambapo gari dogo aina ya Corolla lenye nambari za Usajiri T 113 ANT mali ya Ndg Athman mkazi wa Kashai ilipo gongana uso kwa uso na Pikipiki yenye nambari T 598 BKS maarufu kama bodaboda,huku bukoba ujulikana kama ASSECDO.
Namna lilivyo alibiwa gari la Bwana Athmani Bahati
Wadau walivyo kusanyika kushuhudia ajali
Mdau Athmani Bahati (kulia)aking'ang'ana na mwendesha Pikipiki ya kwamba yeye ndiye yupo kwenye makosa KWA kusababisha ajalI ilotokea katikati ya makutano ya barabara ya Kashozi jirani kabisa na Bank ya CRDB,wa pili kulia ni Afisa wa Polisi Ndg Masala akijaribu kuweka hali ya usalama sawasawa.
Next Post Previous Post
Bukobawadau