Bukobawadau

HAKUNAGA KAMA MAKIRIKIRI !!..WASABABISHA ILE MBAYAAAA USIKU HUU!!!!

Wanaitwa Mashujaa wa Ngoma za Kiafika kutokea Nchini Botswana,Maarufu kama (Makirikiri)wakiwajibika jukwaani usiku wa leo Club linas Mjini Bukoba

Wanaonekana Wakijipanga tayari kwa show ya Utangulizi

Sehemu ya Wadau katika umakini wa kufatilia Onyesho walilo lisubilia kwa hamu baada ya lie la kwanza kutokufanyika

Ndg Subira na Mwenzake nao pia ile ile wakielekeza macho yao jukwaani

Ni Ndani ya Linas Night Club Umati ukifatilia tamasha la Makirikiri Usiku huu

Anaonekana Ndg Sued Juma na wadau wenzake pia

Makirikiri walivyo mteka Mdau Magnus

Wakiongea na Bukobawadau,Wadau hawa wamesema Makirikiri hawana Copy katika kulishambulia jukwaa!!

Mama Shakira(Owatta) anaonekana kushindwa kujizuia hapo analisogelea Jukwaa.

Ndg John na Mdau wake wa karibu Dj Ray

Ndg Gody Katemana

Hussen wa Jamco video Production ambao pia ni wadau wakubwa wa Onyesho hili picha ya pamoja na baadhi ya wachezaji wa Makirikiri

Uwezo wa Uchezaji hawa jamaa ni vizuri kama umejionea live kwani shughuli yao jukwaani sio ya polepole

Dr Mbaule (kushoto) Mtangazaji 88.5 Kasibante Fm Radio

Watu kwa raha zao kama unavyojionea katika Picha..na Bukobawadau katika ushuhuda tumekuwekea Video kwa ufupi waweza kutazama kupitia tovuti hii.
Next Post Previous Post
Bukobawadau