Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU; Juu ya matukio Mbalimbali Pande Zote

Asikwambie Mtu hili ndilo pila ORG kama wapendavyo kusema wapishi wenyewe
Anaitwa Said Mshamu(veterani)zamani alikipiga RTC Kagera hivi ndivyo alivyo kutwa na Camera yetu hii leo kitahani

Huyu Mama niMwanaharakati juu ya vita ya kunyanyapaa watu wenye VVU hivi ndivyo alivyokutwa mtaani akitoa nasaha zake

Ukiona hivi juwa shughuli imefika mahala pake

Mdau Chukulia ndio siku ya kupeleka au Kutolewa Mahali(posa) unakutana na hali hii

Naam shughuli ni watu na watu wenyewe ndo kama hivi...

Mdau Steven Katika hekaheka za hapa na Pale.
Wadau kushoto ni Dear Mama na Wabago Hadam

Al Maarufu Shekh Mustapha (ukanda wa Katoro)huyo ni Mtu mhimu sana.

Mkao ni round ya watu sita sita usipime kasi yake...

Harakati za Sheikh Haruna Kichwabuta Sheikh wa Wilaya ya Bukoba Mjini

Bukobawadau na habari matukio
-Bukobawadau tunafanya kile tulicho kikusudia
-Lengo letu ni kunekana tofauti katika mfumo wa kuhabarishana.
-Mdau kama unawazo lako au chochote cha kuijulisha jamii
-Kuelimisha wanadau bila kujari swala zima la Ukanda waweza leta tukaweka kwa faida yetu bila kutoa au kutozwa chochote kama wafanyavyo wengine

Yote haya ni katika kukuweka Karibu wewe Mdau.

Wadau katika hali ya umoja

Kulia ni Mdau Mtangazaji Maarufu Baba Annas

Next Post Previous Post
Bukobawadau