Bukobawadau

UNAWAJUA KAKAU BAND?!!! JE UNAWAKUBALI? unalolote la kusema juu ya Band hii?kama unaweza Mdau funguka...usikike.!!!!

Kikundi cha Kakau Band chenye umaarufu mkubwa sana Africa Mashariki,Hapo nikatika kuwakilisha Ngoma ya asili

Upande wa Show kiujumla jamaa wamejipanga vizuri sana wa kiongozwa na Moses (mnyama)!!!!

Hapo utawataka tu kwa mambo haya ya kichina china.

Swagga zao kiukweli nizakipekee kabisa..sijui mda unawachukuliaje kikubwa nikutowa maoni yako.

Safu ya Uwimbaji

-Bukobawadau katika kugusa Nyanja zote tunaomba Comment juu ya KAKAU BAND

-Unawalinganisha au Kuwafananisha na kundi/Band gani hapa Tanzania.

-Wafanye nini ili waweze kuwa juu zaidi ya hapa walipo.

-Je kuimba Nyimbo za Kihaya kuna ulazima au unasemaje Mdau juu ya hili.

-Sehemu gani wanakamua zaidi au wanaonyesha kumudu kama umewahi kuwaona.

- Angalizo usihusishe mawazo yako na tofauti yoyote ilio wahi kujitokeza baina yako na wao au na mmoja wapo katika kundi zima.

-Waweza kutoa maoni hapo mwisho wa Page hii kupitia Facebook
Next Post Previous Post
Bukobawadau