Bukobawadau

MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI MKOANI KAGERA;yafikia tamati hii leo!!

Banda la NSSF Bukoba nao walikuwepo katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani yanayofikia tamati leo 8/10/2011
Meneja wa NSSF Kagera Ndugu MARCO MAGHEKE alikuepo kuhakikisha itifaki inazingatiwa, Pembeni ni Bi Caroline Newa afisa mahusiano NSSF.
Officer Salma Mwendo mfanyakazi na mwakilishi wa NSSF katika maadhimisho hayo.
Pichani ni Ndg James Tumbo alikuwepo kuwakilisha NSSF katika maadhimisho hayo
Ndg Zuberi Khamis afisa uandikishaji wanachama
Nyazige Mwendo afisa mafao wa Mkoa
Manager wa NSSF Mkoa wa Kagera Nd Marco Magheke akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. Kanal Masawe
Ndg Marco Magheke akitoa ufafanuzi juu ya Jambo fulani.
Manager Ndg Marco Magheke katika kuyakabili majukumu
Mwonekano wa Banda la TRA.
Ndg Patric Pombe mwakilishi wa TRA
Wadau ni Ndg Salim Mtanda na Ndg Latudyo Mtatya wwakilishi wa TRA .
Anaitwa Abbakari akipata vipepelushi kutoka kwa afisa uhusiano wa NSSF ndg Caroline Newa
Mdau Mwalimu Bwaluma
Mh.Mkuu wa Mkoa akisalimiana na Maofisa Mbalimbali wa Jeshi la Polisi
Balozi Kagasheki(Mbunge)Naibu waziri Wizara ya Mambo ya Ndani Picha ya pamoja na Mh Masawe Mkuu wa Mkoa wa Kagera.
-Haya ni baadhi tu ya yale yaliojili mapema hii ususani banda la NSSF.
-Bukobawadau tutazidi kukuabarisha kwa jumla kadri tunavyo pata habari.
-Bukobawadau tunawaomba Wadau popote pale kututumia picha na habari.
-Wasiliana Nasi kupitia Email yetu hapo juu na nambari za simu husika.
-Pia bukobawadau tunatoa shukrani kwa wadau wote wanao toa ushirikiano katika kuendeleza libeneke hili.****ANGALIZO KWA HABARI ZA NYUMA ZAIDI USISITE KU GONGA NENO OLDAR POST HAPO CHINI YAANI MWISHO WA KILA PAGE ILI KUPATA HABARI NYINGINEZO!!!!****
Next Post Previous Post
Bukobawadau