Bukobawadau

IJUWE SMART HOTEL BUKOBA:hotel yenye ubora wa hali ya juu...

Smart hotel ni hotel mpya na yakisasa iliopo Manispaa ya Bukoba
Smart Hotel ipo barabara kuu inayo elekea Nyamkazi Kata ya Miembeni
Pichani ni Mwonekano wa Nje wa Jengo la Smart Hotel kama alivyo litembelea mwana habari wetu hivi punde.

Mwonekano wa counter za Nje ufikapo Smart Hotel
Smart Hotel wana ukumbi mkubwa wa Mikutano na Semina Mbalimbali kama unavyo jionea.
Hivi ndivyo vyumbani palivyo enea ndani ya Smart Hotel yenye kila sifa na vigezo.
Ukiwa Smart Hotel hapana usumbufu wa wapi unaweza kupata huduma ya Mtandao,kwani wo wamejipanga nyanja zote ,bukobawadau ni shuhuda
Usafiri kwa ajiri ya Staff na huduma mbalimbali
Huu ni Ukumbi kwa ajiri ya Sherehe mbalimbali.
Hivi divyo palivyo ndani ya Smart Hotel
Hotel hii ipo mkabala na Uwanja wa Ndege barabara ya Nyamkazi Bukoba.

-Tembelea Bukobawadau blogspot mara kwa mara upate kila kinacho jili ukanda huu kwa ujumla

-Waweza kutoa maoni ushauri na pendekezo kwa kuwasiliana nasi moja kwa moja kupitia email zetu au namba za simu hapo juu ya profile.

-Bukobawadau tunapokea habari na picha zozote ili mladi zizingatie maadili.

-ANGALIZO:Bukobawadau tunawaomba wadau wote kupitia au kugoNga neno Oldar post wakati wa kuperuzi ili kupata mwendelezo wa habari zilizo pita au matukio ya Nyuma.

-Shukrani kwa wale wote walio onyesha ushirikiano kwa dhati kufikia hapa tulipo.
Next Post Previous Post
Bukobawadau