Bukobawadau

Wajuwe Misifa Classic Wear Wakali wa Mavazi Kanda ya Ziwa....!!

Mdau Erasmus George(misifa) ndani ya Misifa Classic Wear Tawi la Bukoba,
Akiongea na Bukobawadau kama Mkurugenzi wa Misifa Classic Mdau Erasmus anesema yupo mjini hapa kuhakikisha wateja wake wanapata kile wanacho stahili kwa hali na ubora zaidi ya mwanzo
Pia amesema kwamba kuwa kwake Jijini Mwanza ni katika hali ya uboreshaji mazingira ya kazi na kupanua wigo zaidi (yaani kujiongeza).Na anawataka wateja wake na wadau wengine wajitokeze Misifa Classic kwa ajiri ya kung'arishwa vilivyo asa katika msimu huu wa Sikukuu
.
Hapa ni sehemu ya Misifa Classic Wear waweza kupata viatu kila aina.
Waweza kupata Suti kila aina na label(majina balimbali)
kiufupi Misifa ndiyo mpango mzima kuhusiana na Mavazi

Ukurasa wa akina Mama,mashost na Masister Doo kiujumla kama hujafika Misifa basi wewe haujafika Bukoba
Kupendeza kunaendana na neno Misifa,ili upendeze basi bukobawadau tunasema kwa wakazi wa Mwanza,Bukoba ,Geita na maeneo ya jirani chaguo sahihi utalipata Misifa Classic Wear
Mdau Erasmus George Kadanke (Kabaijo)wa Misifa Classic Wear
Pichani ni aina za jeans ndani ya Misifa ni sawa na Gulio(mjajalo)waweza kupata kila kitu
Shop Manager Misifa Classic Bukoba Branch Ndg Biggy John Bigirwa.
Misifa Classic Wear wanapatikani Nje Kidogo ya Soko kuu maeneo ya Miembeni zamani barabara ya Kashai.
Kwa mawasiliano zaidi waweza kusoma namba hapo juu ya Bango
!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau