Bukobawadau

Maadhimisho ya Sherehe ya Chama cha Walimu Walayani Bukoba 5-10-2011

Balozi Hamis Juma Sued Kagasheki(Mbunge jimbo la Bukoba Mjini)Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Ndani akihutubia wadau na Walimu waliojitokeza kwenye Maadhimisho ya Chama cha Walimu wa Wilaya ya Bukoba Mjini yanayofanyika kila tarehe 5 ya mwezi wa Kumi kila mwaka kote nchini.
Mgeni Rasmi Akiingia Ukumbini Linaz Night Club sambamba na wadau wengine kama Ndg Masala Kulia katika hali ya Umakinifu.
Kulia ni Meya wa Manispaa wa Bukoba Mh Anatory Aman akinena na Mh Kagasheki(Mbunge)na Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya ndani.
Baadhi ya wadau wa Chama cha Walimu Bukoba Mjini.
Mkuu Wa Wilaya ya Bukoba mjini Ndg Samwel Kamote akiwakilisha kwa upande wake.
Mwonekano wa Club linaz Ukumbi Mpya wa Mikutano hivi sasa wakati Ujenzi na Marekebisho zaidi vikiendelea.
Mkurugenzi Wa Manispaa Ndg Hamis Kaputa.
Anaonekana John Mgango kiongozi wa Kikundi cha burudani (Kagera culture group)
Katika Moja na Mbili Kasimama Dj Hannaf.
Balozi Kagasheki akipata Chakula.
Swaggar kama kawaida.
Wadau kutoka kushoto ni Ndg Bushila,na wa Mwisho ni Dogo Hussein wa Jamco Production..

-Bubobawadau Tunatoa shukrani za dhati kwa wale wote wanao tembelea blog hii.
-Bukobawadau tunaomba wadau kutoa Comment ili kutupa sisi u halisia juu ya nini mnacho kihitaji.
-Bukobawadau tunapenda kuwafahamisha wadau popote pale msisite kututumia habari,na matukio yoyote yale ili mladi swala la maadiri lizingatiwe ili tusije kuleteana zengwe .
-Tangaza na sisi biashara yake ujulikane kitaifa na kimataifa kwa kile tunachoamini kwamba tunasikika na kusomeka kokote duniani kutokana na utandawazi
-Tunapokea ushauri,maoni na dukuduku katika kuendeleza libeneke hili.
Next Post Previous Post
Bukobawadau