Bukobawadau

MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI KUFANYIKA KITAIFA MKOANI KAGERA ;Huu ni ufunguzi chini ya Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Mhungano wa Tanzania Mh Muhamed Othman Chande

Maandamano ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani Tarehe 3-10-2011 mpaka 8-10-2011 kitaifa yazinduliwa Mjini Bukoba
Viunga Katikati ya mji wa Bukoba maandamano yalikatiza kuelekea viwanja vya Ghemkana
Wadau Mbalimbali,wawakilishi wa vikundi kadha wa kadha, na mashirika yasiyo ya Kiserikali pamoja na wanafunzi
Barabara ya Samwel Luangisa kuelekea kati ya viunga vya NBC Bank kuelekea Manispaa wengi usema (kuelekea Kaitaba)
Manager Masoko wa Airtel Tanzania (kanda ya Ziwa)akijaribu kutoa ufafanuzi juu ya kile kilicho wafanya wao kuwa wadhamini wakubwa wa Maazimisho haya Nchi nzima
Mgeni wa Heshima Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hon. Muhamed Othman Chande(kulia) picha ya Pamoja na Balozi Hamis Sued Kagasheki(Mbunge)na Naibu Waziri wizara ya Mambo ya Ndani
Mdau Mwl Joyce Rubozikatikati) hakuwa nyuma katika hili
Anaitwa Jumanne Bingwa Kaibu Mipango wa Mbunge jimbo la Bukoba Mjini
Viongozi wetu Ngazi za juu Picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa Mpya Mh Massawe wa mwisho kulia
Wazee maarufu wa Mji wakisalimiana na Uongozi waweza kumwona Mzee Abdulziadi Kashinde wa pili Kulia
Mshereheshaji wa Shughuli nzima
-Ni Bukobawadau blogspot kwa habari za kila siku na matukio kadhaa
-Blog hii ni ya Kijamii Zaidi si vinginevyo kabisa Ndg Mdau wetu
-Bukobawadau tunapokea picha na habari yoyote cha msingi Maadiri
-Waweza kutoa ushauri,ushirikiano,deal kwa kufika ofisini kwetu
-Wasiliana nasi kwa +255715 505043,+255754 505043,+255713 397241
-Usisahau kugonga neno Oldar post wakati unaperuzi ili kuendelea zaidi.

Mdau Ndg Kabantega akikabidhiwa Cheti
Wadau mbalimbali wakifatiliajambo kwa umakini
JESHI LA POLISI TANZANIA MAKAO MAKUU KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI LINATOA WITO KWA WATUMIAJI BARABARA;
-Wadereva wa Magari
-Watembea kwa Miguu
-Wapanda Baiskeli
-Wapanda Pikipiki
-Wasukuma Mikokoteni

Kitengo cha Mzani

Kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoani Kagera Mama Buhiye
Next Post Previous Post
Bukobawadau