Bukobawadau

HABARI MATUKIO JUU YA HARUSI YA MR&MRS MAKOKO:19-11-2011 Hatua ya kanisani,Picha maalumu,na Party imefanyika Hotel ya Walkgard

PICHA YA KANISANI MR&MRS MAKOKO BAADA YA NDOA TAKATIFU.
MR MAKOKO AKISAINI CHETI CHA NDOA BAADA YA KUKILI NA KUKUBALI YA KUWA
MAHARUSI PICHA YA PAMOJA NA BEST MAN WA BWANA HARUSI NA WA MWISHO KULIA NI DADA PIACE KASIMBAZI
WAZAZI WA PANDE ZOTE MBILI PICHA YA PAMOJA NA MAHARUSI
KABLA SIJAFIKA MBALI NA DECLARE INTREST YA KUMKUBALI MPAMBAJI WA HARUSI HII MAMA MATUNGWA MMILIKI WA WALKGUARD HOTEL
MANDHARI YA HOTEL YA WALKGARD INAPOFANYIKIA HARUSI HII YA KIHISTORIA
MAHARUSI WANAELEKEA UKUMBINI
WAPAMBE WA BI HARUSI WAKIINGIA UKUMBINI KWA STYLE YA KIPEKEE KABISA
KUTOKA KUSHOTO NI MISS DEVOTHA (MTOTO WA JEANS)KATIKATI NI MISS SHAIDA NA WA MWISHO NI HAPPY KASIMBAZI HAMA KWA HAKIKA WAMEJIPANGA VIZURI NDG YANGU MDA UTAONA VIDEO YA SHUGHULI KUPITIA ACCOUNT YETU YA YOU TUBE YA BUKOBAWADAU.
MAHARUSI WAMEINGIA NA KUKATA UTEPE KAMA UNAVYO JIONEA MDA.
MLANGONI UPANDE WA MAPOKEZI YUPO MDAU SAMOLA
MWONEKANO WA MEZA KUU.
MTU NA DADA YAKE PICHANI NI KUSHOTO NI DADA EUNICE LUANGISA NA RAHIMU KABYEMELA
BAADHI YA WAGENI WAALIKWA NI PAMOJA NA NDG MTENSA PISHANI
MDAU SAID KARATASI ANAONEKANA KUTOKUELEWA NI NINI KINACHO NA KATIKATI NI MDAU GILBART WA G-SMART
BI RUKIA NA BI BETTY SEHEMU YA WAALIKWA
UKIANGALIA VIZURI NAMNA MEZA ILIVYO SHEHENI VINJWANI BASI HICHO NI KIELELEZO TOSHO KABISA,MDAU PICHANI KULIA NI MAMAA TEDDY
HABARI MATUKIO KUPITIA BUKOBAWADAU NA KADRI MDA UNAVYO SOGEA USISITE KUPITIA TENA HUMU ILI UPATE MATUKIO ZAIDI KUANZIA BARAMAGA HADI KUFIKIA ALFAJIRI YA SAA 11 YA LEO HII -HARUSI HII INAMFUMO TOFAUTI KABISA NA TULIVYO ZOEA
CAMERA YETU IMEFANYA KILA JITIADA KUKUFIKISHIA WEWE MDAU KILE KINACHO SITAHILI....NA TUNAWATAKA RADHI WADAU KWA KUCHELEWESHA LIBENEKE HILI KWA KUWA TULIANZA NA MATUKIO YA KAITABA KISERIKALI ZAIDI

HATUA MUHIMU YA KUKATA KEKI
LIVE KUPITIA BUKOBAWADAU BLOGSPOT
MVUTO WA BI LILIAN PETER(MWISE)HAPA NDIPO UTAUGUNDUA SAMBAMBA NA UTULIVU UNAOJIONYESHA KIMATENDO UMATRONI PIA ULIZINGATIA VIGEZO
MAMA DONA KAZINDUKI AKISEMA NAAAM!!!!
TABASAMU PANA LA BI JAMILA
FURAHA ALIYONAYO KAKA MKUU ,UKICHECK NA VIDEO UKAWEZA KUYASIKIA MANENO ALIYO YATAMKA UTAGUNDUA KWELI ANAMAANISHA
MDAU MWENDESHA SHUGHULI KWA USITADI MKUBWA NI MC MATOVELO
ANAONEKANA KWA UMAKINI MKUBWA KIJANA SOMA AKIPEWA MAELEKEZO NA MDAU RAHIM
CHEERSSSSSSSSS NDIYO TUKIO LINALOFATA
Next Post Previous Post
Bukobawadau