Bukobawadau

BUKOBA VETERANI YAINYUKA TIMU YA MAKOCHA WA MKOA WA KAGERA GOLI 4 KWA 3.KATIKA KUADHIMISHA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU.

katika kuadhimisha miaka 50 ya uhuru,mkoa wa kagera upande wa michezo na utamaduni,kumefanyika mechi kati ya timu ya makocha wa mkoa wa kagera na timu ya Bukoba Veteran,matokeo,Bukoba Veteran imeibuka na ushindi wa Goli 4-3 magoli yakiwekwa kimiani na Mzee Mabusi magoli matatu na moja likiwekwa kimiani na kepten Ajuaye Kheri Msese

KIKOSI CHA MAKOCHA WA MKOA
KIKOSI CHA BUKOBA VETERANI
KAPTENI AJUAYE KHERI MSESE ALIYEWENYUKA MAKOCHA WA MKOA GOLI 3 KAMA ANAVYOONEKANA KATIKA PICHA NA USO WA BASHASHA.
Next Post Previous Post
Bukobawadau