Bukobawadau

MAHAFALI YA 13 YA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA (IAA)MDAU GEOFREY PROTASIUS NA MAJALIWA AMOSI WAHITIMU DEGREE YA KWANZA (INFORMATION TECHNOLOGY )IT.

Oyo band maalum ikiongoza wahitimu kuelekea sehemu ya tukio zima la kutunukiwa degree zao baada ya kazi ngumu ya miaka mitatu ndani ya chuo cha Uhasibu Arusha.
Mr Majaliwa Amosi kushoto na Mr Geofrey Protasius wakielekea sehemu ya tukio zima kama anavyooneka katika picha.
Mdau Geofrey wa pili akionekana katulia kwa makini akisikiliza mawahidha kutoka kwa mgeni Rasmi hayupo pichani kabla ya kutunukiwa Degree yake.
Mdau Majaliwa Amos wa kwanza nae akisiliza kwa makini mawahidha ya mgeni rasmi kabla ya kutunukiwa degree yake ya Information Technology
Mr Geofrey katika pozi la hatari wahaya twasema (washemera muno)
Wahitimu wakisubilia kutunukiwa vyeti vyao
Mdau Geofrey akionekana mwenye furaha baada ya kutunukiwa degree yake ya Information Technology(IT).
Wadau,Mr Majaliwa Amosi kulia na Mr Geofrey Protasius wakionekana wenye nyuso za furaha baada ya tukio zima la kutunukiwa degree yao ya sayansi ya teknologia ya habari(Information Technology)

Bukobawadau TUNATOA PONGEZI KWA MR.MAJALIWA AMOSI NA NDG.GEOFREY PROTASIUS KWA KUHITIMU.
Next Post Previous Post
Bukobawadau