Bukobawadau

LIGI KUU YA VODACOM:Kagera Sukari yaipa kichapo Coast Union kutoka Tanga1-0 ,Goli la Kagera limefungwa na Hussein Sued

Mgeni wa heshima wa mchezo huu meneja wa crdb Mr.Chabruma akiongea na timu zote mbili
Mgeni wa heshima akitoka uwanjani baada ya kusalimiana na timu zote mbili.
Kocha julio baada ya kichapo.
Next Post Previous Post
Bukobawadau