Bukobawadau

MATUKIO YA SEND OFF YA BI HOPE KASIMBAZI:Shughuli hii imefanyika usiku huu Ndani ya Linas Club ,Kakau Band & Nshomile Family wasababisha si kawaida,Kamati ya Maandalizi yajizolea umaharufu...!!!!!

Kaka mkuu akimpongeza Mwenyekiti wa sherehe kwa kazi kubwa alio ifanya
Kaka Mkuu akitoa nasaha kwa niaba ya Wana umoja
Pichana ya Wanakamati kwa Pamoja wakati wa kutoa Zawadi
Misifa Classic Wear Wazamini wakubwa wa Bukobawadau Blogspot ndio wamewavisha wanakamati wa Kiume na kuwafanya wapendeze katika mwonekano huu
Big up kwao Misifa Classic
.
Nikikumbuka kilichotokea kabla mweka hazina ajafungua mkoba wake wadau wengi walidhani ni laptop
Hivi ndivyo Mama Salum alivyo tupia-sikuweza kujua moja kwa moja ni nani kamvisha ila kiufupi kilemba kimekaa na kulia ni Bi Z awadi
Mdau Mama Mlezi wetu Mama Stella.
Innocent(DONKING) Kama unaona mabango ya Wadhamini hapo juu,huyu ndiye BUGINGO.Wasambazaji wa mashine aina zote za TVS mkoani Kagera.
Amana hii ni kiasi cha shillingi za Kitanzania Mil 12 ikiwa ndio Zawadi ya wanakati walio mkabidhi Bi Harusi Hope Kasimbazi
Tayari Bi Hope kakabidhiwa Moto,hesabu,Zawadi yake toka kwa wanakamati na Kushoto ni Mdau mkubwa Erasmus George kempe wa Kadanke maarufu kama Misifa Classic akiwa beneti kuakikisha usalama.
Mambo haya yote yanatokana na kamati Imara
.
Sehemu ya utambulisho upande wa Bwana Harusi
Mama Mzazi wa Bwana Harusi akitoa salamu
Utambulisho wa Bi Harusi
Camera yetu kila pembe hizi ni swaggar za Bi Maua Ramadhani
Daaaah natamani nimbebe mgongoni kijana huyo wa Kundi la Nshomile Family kwa uwezo wake wa kughani kirugha na kufikisha mesagi kwa walengwa
Imebidi nijiongeze ukizingatia picha ni sehemu ya Kumbukumbu na nimekumbuka uwenda maisha ya Bi Hope isiwe tena Bukoba...
#1McBaraka kushoto picha ya pamoja na Bi Harusi, kulia ni Mkurugenzi Mtensa


Kikubwa katika Shuguli hii ni ile Bukobawadau kutoa kitu live papo kwa papo
Tupo kikazi na tupo kwa kila jambo na kwa kila tukio kwa ghalama nafuu kabisa.
Mawasiliano ni 0715 505043,0713 397242,0754 505043 na 0784 505045
Email bukobawadau@gmail.com,galiatano@yahoo.com,sir4life@yahoo.com
Na mawasiliano haya sio kwa deal tu tunaomba na tunaitaji sana ushauri .
Libeneke hili halipo kwa ajili ya watu kupeana mipasho au lugha zisizo faa.
Tunawashkuru wadau wote kokote mlipo kwa kuonyesha ushirikiano

Kakau Band in ACTION
Ilikua full shangwe wanakamati walipoanza kucheza kwaito
MDA WA CHAMPAGNE ZIMEFUNGULIWA NA WANAMAMA WA MJIN
Mr & Mrs Matete

SHEREHE IMEANZA KWA BI HARUSI KUKATA UTEPE
Hatua ambayo bado imo hakilini mwangu mie Mc kama blogger
Shughuli imepangwa vyema ikapangika

Wadau wakitoa pongezi
Daah laiti kama kila Mdau Msomaji angeweza kuwajua wadau wote na umuhimu wao ila ndiyo hivyo tena hilo aliwezekana
Pichana ni Mdau Muhimu sana Bi Rukia.Hatuna namna ya kumtolea maelezo ila kwa ufupi ni kiungo muhimi sana mjini hapa.


Miripuko ya hapa na pale
hatua ya Kukata na kutoa keki kwa watu Maalum
BI HOPE NA BI LILIAN WAKIPEANA SHAVU LA KEKI
BI HOPE AKIKABIDHI ZAWADI YA KEKI KWA WAZAZI WAKE
Mdau Prosper na Bi Maisala
Aaonekana mdau Fidelix Kaiza kushoto
Mr&MRS Mikito
Mdau Mzidaru na Bi Betty Lweyendela
Mr & Mrs Karunde nao walikuwepo
Muonekane wa ukumbi ulikua umependeza kama unavyojionea katika picha.
Mwenye kiti wa kamati Papaa Mugisha akikabidhiwa jumba lake la keki
WOUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!!!!!!!!HOPE NA MY HASBANDI WAKE AKIMLISHA KEKI.
Wanakamati wa sherehe hii wakisakata Rumba
Next Post Previous Post
Bukobawadau