Bukobawadau

PICHA ZA HOPE KASIMBAZI MDA MCHACHE KABLA YA KUINGIA UKUMBINI IKIWA LEO NI SEND OFF PARTY:bukobawadau blogspot itakuwepo live kukujuza kila kinacho jili

Bi Harusi mtalajiwa Hope Kasimbasi
Picha Maalumu kama kumbukumbu kwa Kaka Mkuu(katikati) na kushoto ni Bi Lilian Peter mpambe wa Bi harusi mtalajiwa na kulia ni Bi Hope Kasimbazi
Bi Hope Kasimbazi akitabasamu na camera yetu hivi punde kabla ya kuelekea ukumbini Linas Night Club kukamilisha Send off Party
shughuli hii ni tukio la kihistoria kwa wazazi wa Hope,marafiki zake wa karibu wadau kiujumla na kwake yeye mwenyewe

Wapambe wa Bi harusi mtalajiwa Picha ya Pamoja na Mhusika wa tukio Bi Hope Kasimbazi.
hivi punde tu Bukobawadau tutakuwa tunakujuza live papo kwa papo kila kila tukio ukumbini hapo,.

Shughuli hii itakuwa inarushwa live kwenye lock Channel ya Bukoba maarufu kama Channel 4 Chini ya Jamco Video Productio.
Pichani ni Mdau Jamal Kalumuna(JAMCO) akichukua vipande muhimu
.
Next Post Previous Post
Bukobawadau