Bukobawadau

MTOTO JANETH. E. NYAMBO APATA UBATIZO.

Mtoto Janeth akimwagiwa maji kuashiria ubatizo kamili
Mtoto Janeth baada ya ushindi mkubwa wa kiroho
Wazazi ni wenye furahaaaa baada ya tukio
Kwini Janeth kwa mshumaa huu ukupe mwanga wa milele
Baada ya kanisani,maisha yaliamia ukumbini kwenye kula na kunywa,hapa namuona kaka Mkubwa na dada yake Grace wakitafakari ili na lile
Kwini Janeth akiwasili ukumbini na dada yake Joan na shangazi yake Agi
Muda wa mahakuli,wadau wakirekebisha afya,kati yao ni Mama Frank na wabishi wengine
Wakati muhimu na tukio muafaka uwa hakuna mchezo ata kidogo,nawaona wadau Edo,Waziri Kabago na mjomba James Mgaya nao wakirekebisha afya zao.
Mjomba Noel nae alikuwepo
Kaka Ngairo na Familia yake walikuwepo pia
Kaka mkubwa na mama wakisimamia mambo ili yaende kama yalivyopangwa
Wakati wa kumpongeza Kwini,namuona shangazi yake bi Jamila Mrs Majid akiwakilisha,hakika alikuwa amependeza sn bi Jamila
Mama kwini Janeth akitoa neno la shukrani kwa waalikwa wote kabla sherehe haijaamia pande ingine ya kupiga mbizi ili msosi uweze kushuka,Mwanza hekaheka nyieeeee....
Kwini Janeth na dada yake,wakiwa ki vingine tayari kumalizia furaha yao kwa kuogelea na kupiga mbizi,maji yanahitaji ujuzi na uzoefu wa mara kwa mara tangu utotoni
Mbatizwa akidumbukia ndani ya pool,akipokewa na shangazi yake Jamilla huku wadau wengine wakiendelea ku swim
Dada Joan akikata maji kwa mashindano na shangazi yake Jamileeeee
Da.Amina au Mama Ligo akimfundisha aunt yake Mbatizwa Kwini Janeth namna ya kupiga Mbizi kwenye pool
Sherehe yote hy ya Kwini Janeth iliongozwa vyema na Mc Matata Mr.Emanuel Tateko aka mopaooooh,hapo akiwa amepozi nje ya kanisa la Bugando
UONGOZI WA BUKOBAWADAU TUNAKUPONGEZA SANA KAKA MKUBWA KWA KUFANIKISHA TUKIO ILO ZURI KABISA LA KI ROHO NA KI IMANI ZAIDI,TUPO PAMOJA NA WEWE.
Next Post Previous Post
Bukobawadau