Bukobawadau

SADATH BOUTIQUE NI NOUMER KATIKA KUELEKEA MSIMU HUU WA SIKU KUU:Shirts,t shirts,suits,jackets,sweater,pants,jeans,watch,hand bag,backpack,hoodies,shoes,boots,skirts,sandals,mules,slippers...


Sadath Boutique wa Mjini Bukoba katika kuelekea msimu huu wa sikukuu wamekuja kivingine zaidi na kitofauti kabisa hii yote ni kumfanya wewe mteja kupata kile kinacho kustahili kwa kwendano na mitindo ya kisasa kabisa katika nyanja hii ya uvaaji
Hii ni kwa wale wapenzi na wavaaji wa,skin jeans,top dress na skirts.
Ndani ya Sadath boutique kwa upande wa wanaume wamedhibiti vyema kwa kulete viatu aina mbalimbali kwa kuzingatia ubora.
Kwa kiswahili sahihi sijapata ila wenzetu wanasema ni Blucher wingtip dress shoe hapo kwa suti sawa casual pia inakubalika.
Katika hili Mtalaam wetu wa Mavazi John Muhazi(USA) amesema hapo ni flanner Gray na Trouser yoyote na akasisitiza hivyo ni vitu vya Ronald Reagan.Na kwa hapa Bukoba ni ndani ya Sadath Boutique

Hapo ni katika kufunga ukurasa kwa wale wenye kuelewa kujipanga na kutoka au kuchomoka kuelekea kazini,au kanisani.
Hapa naweza kusema kama wewe mdau unajuwa na unaelewa kuvaa ni nini na kujistili ni nini basi kwa wale wavaaji Sadath Boutique ndiyo sehemu sahihi.
Sadath Boutique Wapo Maeneo ya Soko Kuu Mjini Bukoba
Jengo la Muleba Guest house
Mkabala kabisa na Executive Shop
Mawasiliano +255 784 240 006
+255 717 493 707

Mtanashati ni Shop Manager ndani ya Sadath Boutique!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau