Bukobawadau

Salaam Za Idd kutoka kwa Wadau Mbalimbali

Akina mama wakipeana mkono wa Idd baada ya Ibada iliofanyika kwenye Msikiti wa Jamia
Shehe Haruna Kichwabuta akipeana Mkono wa Idd na Mdau Jamal Kalumna
Wadau walivyo kutana na Camera yetu na kutoa pongezi na salam za Idd hii leo
Mdau Buhi anatoa salaam za Idd kwa wadau wote popote mlipo
Wadau wakimpongeza Shehe Kakwekwe.
Mzee Abdul Khalid na mwanae Abdallahtiif wanatoa salaam Idd baada ya kukutana na camera yetu hii leo
Salaam za Idd Kutoka kwa Amin Idrisa
Next Post Previous Post
Bukobawadau