Bukobawadau

NDANI YA BUKOBA CLUB-SHEREHE YA KUMUAGA MKUU WA MKOA WA KAGERA MSTAAFU NDG.MOHAMEDI BABU YAFANA.

MEZA KUU MKUU WA MKOA MSTAAFU NA MKUU WA MKOA MPYA NA WAKE ZAO PIA WADAU WENGINE.
MKUU WA MKOA MH.PHABIANI MASSAWE, PEMBENI NI MRS. PHABIAN MASSAWE.
MH.MOHAMEDI BABU KULIA AKIWA NA MKE WAKE MAMA MOHAMEDI BABU
MEYA WA MANISPAA YA BUKOBA NDG.ANATORY AMANI NAYE ALIKUWEPO KATIKA SHEREHE HIYO.
BAADHI YA WAGENI WAALIKWA KAMA INAVYOONEKANA KATIKA PICHA.
SHEKH MBARAKA JUMA BYABUSHA AKIFUNGUA SHEREHE KWA DUA.
PADRI AKIOMBA DUA YA UFUNGUZI
MWENYEKITI WA BAKWATA MKOA WA KAGERA NDG,AYOUB KAGIRE NAE ALIKUWEPO.
MENEJA WA LAKE HOTEL NDG TWAHA YUNUSU MGOGO MAARUFU KAMA (MSOKE)
MDAU MR KAMALEKI
MR.KAMALEKI PICHA YA JUU....CHINI HAPA NI MRS.KAMALEKI AKIWA NA MWANAE.
MFANYA BIASHARA MAALUFU MZEE KAGAMBO.
MWAKILISHI WA BUKOP PAMOJA NA MZEE MSHASHU

DR.REMMY NAE ALIKUWEPO KAMA ANAVYOONEKANA KATIKA JUMBA.

MDAU MKUBWA NDANI YA MANISPAA NA MDAU MKUBWA WA BUKOBAWADAU JINA LINAHIFADHIWA NI MIONGONI MWA WAALIKWA . .
BI JENIVEVA EMMANUEL KUSHOTO MH.MATETE KATIKATI NA MDAU STEVEN BYABATO NAO WALIKUWEPO KATIKA SHEREHE HIYO
BI NADHIFA ALIKUWEPO KUTOA BURUDANI KAMA ANAVYOONEKANA AKISOMA USHAIRI
BI NADHIFA AKIWA MEZA KUU BAADA YA KUMALIZA KUSOMA UTENZI WA SHAIRI,PICHANI AKITUNZWA NA MKUU WA MKOA MH.KANALI PHABIAN MASAWE.
WAGENI WAWAKILISHI KUTOKA NCHI JIRANI ZA RWANDA NA BURUNDI.
UTAMBULISHO WAGENI KUTOKA NCHINI BURUNDI
SALAAM KUTOKA NCHINI RWANDA
MUONEKANO WA KEKI.
ILIKUA NI FURAHA KAMA UANVYOJIONEA,MAMA MOHAMEDI BABU AKIJIANDAA KUMLISHA MUMEWE MKUU WA MKOA MSTAAFU MH.MOHAMEDI BABU. ''alisikika akisema acha aibu my husband njoo nikulishe"

BWANA NA BIBI PHABIAN MASAWE WAKIKATA KEKI.

MKUU WA MKOA MH.PHABIAN MASSAWE AKIMLISHA KEKI MKE WAKE.
MKE WA MKUU WA MKOA MSTAAFU MAMA MOHAMEDI BABU KATIKATI MKUU WA MKOA MSTAAFU MH.MOHAMEDI BABU, WAKIMKABIDHI KEKI MKUUU WA MKOA MH.PHABIAN MASSAWE.
MAMA EDWARD "MUGOLE SHOP" WA KWANZA KUSHOTO KATIKATI NI MAMA MUHAZI.KULIA NI MAMA RUGARABAMU
MH MIKITO AFISA WA UAMIAJI KATIKATI,KULIA NGD.MATOVELO WA NMB
MAMA ACHI KUSHOTO, NAE ALIKUWEPO KWENYE SHEREHE HIYO
WANAHABARI WALIOSINDIKIZA UGENI TOKA BURUNDI
MWAKILISHI WA KAGERA SUGAR NDG.ASHWIN RANA.
ELCT WAKIWAKILISHWA NA KATIBU MKUU WA K.K.K.T BUKOBA NDG GODWIN RWEZAULA
MC WA SHUGHULI.
MWAKILISHI WA CRDB BANK PICHA YA PAMOJA NA MDAU KHALIM AMRI HAMIR WA KARAGWE
WADAU KATIKA MEZA YA MAPOKEZI
MDAU MR.MASALA NAE ALIKUWEPO.
Next Post Previous Post
Bukobawadau