Bukobawadau

HAFLA YA WANABUKOBA WAISHIO NJE YABUKOBA MGENI RASMI NI MKUU WA MKOA KANALI MSTAAFU FABIAN I. MASSAWE;Mambo mengi yameongelewa pamoja na Mawasilisho ya Mpango na fursa za uwekezaji Bukoba.

Mkuu wa Mkoa Kal.Fabian I. Massawe akiwasalimia wadau mda mchache baada ya kuingia Ukumbini
Meza kuu kutoka Kushoto ni Mh.Meya Aman,Mkuu wa Mkoa Kal. Fabian Masawe,Mwenyekiti wa Wahaya waishio Dar es Salaam Ndg Ben Mulokozi,na Ndg Anthony.A.Tibaijuka katibu kamati ya maandalizi
Bwana Willy Katunzi akitona neno kwa ufupi juu ya lengo la hafla hii.
Mdau Pichani ni Ndg Honest Mushobozi akiongelea changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na swala la bei ya kahawa kutofautiana na nchi nyingine ile hali soko ni moja duniani kote,na amemwomba mkuu wa mkoa kuruhusu mkulima aweze kuuza mazao yake sehemu yoyote kitendo cha kumzuia ni kosa
Ndg Jamal Malinzi wakati wa utambulisho
Bi Noela Owonyesiga
Ndg Ben Mulokozi na Mdau Anthony Tibaijuka.
Mdau Moses(MUSSA)
Mdau Evance Nyeme na Bi Digina
Wadau kwa pamoja wakisalimiana.
Mama Kiroyera Bi Meli Kalikawe.
Hakika hafla hii imefanikiwa kwa kiasi kikubwa ukizingatia huu ni mwanzo.
Bukobawadau tunatoa pongezi kwa kamati nzima ya maandalizi na wadau wote waliohudhulia.
Wadau wote kiujumla ni vigumu kutoa picha ya kila mshirika labda nikitaja baadhi kwa majina,Ndg P.Ishengoma,Ndg Deo Mutalemwa, Mdau Joanes kahiyu,Rwabigene Rugaya, Mwanahabari maswala ya Uchumi na Siasa Ndg Angelo Mwoleka,ndg Odax Mtiganzi mwanahabari, na Bi Angela Nd Ruta Lutainulwa pia mdau Kazimoto Melchades,Ndg Sebastian Patrick Misingo ,Mzee wetu Rutaindurwa,Mchumi Nkwama Revocatus Rwechungula, na mdau Rwegasila Tenabo.
Mdau Andrew Peter Kato
Mdau Ben Kataluga
Mdau pichani ni Godwini Lwakatare wa Nshamba
Mdau Hamim Mohamed Omary
Ndipo ukafika wasaa wa kupata Chakula.
Anaonekana Mkuu wa Mh.Kal.Massawe

Huduma yachakula ikiendelea.
Pichani ni Mdau Rwegasila Ntinabo
Anaonekana pia Ndg Erasto Machume na Bi Spensioza Machume na wadau wengine katika hafla hii
Anaonekana Bi Alice Kibengwe.
Wakipata Chakula meza ya Wadau Chief Kalumuna, Mdau Erasmus Buberwa, na Mtu muhimu Gosbert Matambula
Kamati ya maandalizi ya hafla hii picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa
Mdau Willy akiteta jambo na Mh Meya Anatory Aman
Kushoto ni Mkurugenzi wa Vision Fm Radio Mdau Valelian na kulia ni mdau Mc baraka blogger bukobawadau
Wadau wakibadilishana mawazo....hatua ya mwisho wa hafla hii.
Pongezi kutoka kwa Mh Meya wa Manispaa ya Bukoba juu ya libeneke la bukobawadau .
Upande wa Burudani ilikua hivi
Next Post Previous Post
Bukobawadau