LIVE-LIBENEKE LA MAPACHA 3 NDANI YA LINAS NIGHT CLUB USIKU WA KRISTMAS
Kundi zima la mapacha 3 likiongozwa na Jese Mara
Wanenguaji na waimbaji wakishambulia jukwaa
Mwanamuziki Kalala Jr
Mwimbaji Khalid Chokoraa
Hawa jamaa kiukweli wanavyo jipanga wanaendana na jina la kundi lao la Mapacha watatu kutoka kushoto ni Khalid Chokoraa,Jose Mara na Kalala Jr.
Ta Nanka akionyesha unanka...
Mdau Bennie Bennisho (home boy) kama kawaida ndani ya Nyumba
Ukiona hivi jua akijanuka
Baadhi ya meza nilizo enea vulivyo usiku huu.
Hii ndio kama ile mother kaachia mbeleko na kwebda kusebeneka.....
Moja wapo ya wadau wenye nasaba na Bukobawadau yupo Andrew Peter na Mkubwa Ben Mlokozi.
Kama kawaida Ndg Polotazi na Ndg Anthony Tibaijuka nao tupo nao
Wadau wakicheck na Camera yetu...
Katika kusherekea Kristmas wadau walivyo jiachia usiku wa leo
Mtu mzima Ben Mulokozi akionyesha namna alivyo guswa na Kalala Jr.
Kama unakumbuka kibao kilicho wapatia umaharufu vijana wa mapacha 3 ndicho kilicho wainua mashabiki hawa kijulikacho kama'KUACHWA'
Kijana Eddy mpenzi wa miondoko hii ya Sebene
Aman Kabuga wa 88.5 Kasibante Fm Radio na Abdumalick Tungaraza w Dj Linas Night Club
Mdau Side Sasick Athman aka Top in Town na Mdau Gilbart George wa G-Smart.na kweli majina yanaendana na wahusika wenyewe...
Swaggar za vijana watata.
Dj box nikiwa na Mdau Andrew Peter
Night Shifft
Ilimladi taflani tu!!!! kiloba mkononi over Sokomoko..
Tukio ni tukio tu na mda wangu mwingi mie Mc Baraka nikucheza na Camera...hii ni namna Gari la mdau Muzza lilivyo kiswa koswa kukwaguliwa na mdae ambaye sikuweza kupata jina lake.