Bukobawadau

HAPA NA PALE MCHANA WA KRISTMAS:band ya mapacha watatu yawasili mjini hapa,Onyesho la Saida Karoli Uwanja wa Kaitaba, Wadai fukweni wakila bata!!!!!

Msanii Saida Karoli akiwapagawisha mashabiki wake jioni ya leo Uwanjani Kaitaba....
Kundi zima la Msanii wa Nyumbani Saida Karoli wakisindikizwa na Msanii Asecdo .
Kushoto ni Mdau Willy Rutta wa Kiroyera Tours ambao ndio waandaaji wa Onyesho hili
Mdau Jumanne Bingwa na Mdau (seji) wa Kitambo sana mjini hapo Ukoo wa Kinobi wa Katoro kwa pamoja wakifatilia onyesho..
Wadau walivyo enea Jukwaani
Saida karoli bado yupo hot ile mbayaaa na kwa sasa anaelewa ni nini kinachotakiwa.
Bukobawadau tunampa pongezi za dhati kwa kuendeleza Ngoma zetu.
Hivi ni vyombo vya band ya Mapacha 3 baada ya kuwasili mjini hapa jioni ya leo ...na watakuwa na onyesho usiku huu pale linas night club.
Mchuma huu umesheheni vyombo vya Band ya Mapacha 3
Hakika patakuwa hapatoshi usiku wa Leo hii si yakososa.
Libeneke la Bukobawadau litakuwepo ukumbini katika kukujuza kile kinacho endelea papo kwa papo.
Kwa wakazi wa Bukoba na maeneo ya Jirani unaambiwa band hii kwa sasa inatikisa, vizuri sana!!!!

Camera yetu kiwanja hiki namkuta Mdau Andrew Peter Kato akipata samaki na ndizi Bukoba.
Mr Andrew ni mwenyeji wa Dar es salaam na ni mdau mkubwa wa Bukobawadau blogspot.

Hapo hapo Victoriaus Hotel nakutana na Kalala Junior (kushoto)Mdau Fabian Kuchibanda wa Missenyi na Mr Maduhu Makoye wa Bank ya Posta.
Wadau wakicheck na Camera yetu
Vijana wa Mjini upenda kupaita Mchangani,haya ni maeneo ya Space Beach Motel kiwanja hiki kipo ufukweni mwa ziwa Viktoria...
Hii ni nyomi ninayo kutana nayo katika pita pita zangu za hapa na pale
Maeneo ya Darajani nikielekea Bukoba Club.

Nikiwa Bukoba Club mida ya Jioni hali ilikuwa bado kwa ninavyo kijua kiwanja hiki
.
Mwonekano wa Jengo la kihistoria la Bukoba Club.
Bukobawadau kwa jioni ya leo hatuna la ziada.
Tupo maeneo husika kufatilia kile kitakacho jili usiku wa leo
Tunawatakieni wadau wote siku kuu njema ya Kristmas

Bukobawadau kwa habari na matukio ya hapa na pale
Next Post Previous Post
Bukobawadau