Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU;bukobawadau kinyumbani zaidi

Nyumba ya Baba yake Mzazi Ben Mulokozi kijijini kwao Ishozi
Ishozi Shule ya msingi maeneo ya akina Abdul Nuru Suleiman,Kichwabuta,na wabishi wengine
Nikiwa Bunazi Maeneo ya Kyaka nakutana na kiwanja hiki hapa Optima Lodger...
Ni gulio la Bunazi lilipata umaharufu mwanzoni mwa 80.
Wadau mbalimbali wakifanya manunuzi
Hii ni bukobawadau blogspot nje ya kugusia na kukujuza zaidi tunakukumbusha maeneo mbalimbali na asa yale yenye mguso kwa njia moja hama nyingine.
Hapa ni uso kwa uso na Mdau Erasmus Kempe George Kadanke wa Misifa Classic Wear kikubwa ni punguzo la bei kwa wakazi wa kanda ya ziwa asa katika msimu huu wa siku kuu.
Nikiwa katika pita pita zangu na Camera mkononi uku nikiwa na dhamila la kujifunza kitu kwenye mjengo wa mdau Martin hapa na pande za Nyamkazi
Nilijisogeza taratibu na nikatoa nikakutana na mlinzi na maelezo kidogo yakanitoka,ikabidi tuelewane.
Mwonekano upo hivi na ujenzi unaendelea...
Bustani si ya kitoto,Nyasi si pasipalama..ni sawa na za uwanja wa taifa!!!!
Hizi ni narkhish narkhish za hapo mjengoni
Camera yetu haikuishia hapo bali tu naishia hapa.

Buyango nilifika juzi nikapaki na kusaliana na Wadau kwa kiasi flani kumekucha na nachelea kusema hili ila kiukweli wadau wengi nilio wakuta vijiweni niwatu wa tilalila nikimaanisha mtungi kwa sana...
Nakumbuka watu wa eneo hili ukisema kitu basi ukuhukumu kwa ulicho kisema wamewahi kumtenda mgombea ubunge mmoja kwa kauli zake.


Yote hii ni katika pitapita zetu za hapa na pale...
wasiliana na si kwa 0715 505043,0754 505043 na 0713 397241 na waweza kukutumia email kwa habari na matukio yenye tija.
Tunawashkuru wadau wote wanaotupa suport katika kuendeleza libeneke hili.
Wadau wa Nshamba kaeni mkao wa utayari kwa matukio zaidi ya pande hizo.
Next Post Previous Post
Bukobawadau