Bukobawadau

MATOKEO YA ELIMU YA MSINGI YATANGAZWA,UFAULU WAONGEZEKA, 9739 WAFUTIWA MATOKEO.


Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Philipo Malungo kushoto akitangaza matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi uliofanyika nchini mwezi septemba 2011,leo jijini Dar-es-salaam. Katika matokeo hayo wanafunzi 567,567 kati ya 983,545 wamefaulu mtihani huo.wavulana wakiwa ni 62.49% na wasichana wakiwa 54.48% .

Chanzo, Michuzi.
Next Post Previous Post
Bukobawadau