Bukobawadau

LIBENEKE LA MZEE YUSUPH NA JAHAZI MODERN TAARAB CLUB LINAZ :Watu kibao wazidi kumiminika ukumbini,Hii ni zaidi ya Zote,Nyimbo mpya kuonekana tatizo,!!!!

Hii najua wengi wenu hamkubaliani nayo ila bukobawadau tupo kwa kuonyesha kukujuza hali alisi si vinginevyo wadau
Ilikuwa full ile mbaya ila ni mambo ya aibu kujiachia kupitiliza,dada zetu na mama zetu hii hali ni tatizo na asa kwa kizazi cha badae...
Kivutio kikubwa ni hali ya mashabiki wa soka walivyo enea ukumbini....panapo ukweli lazima tuseme club linaz ni pazuri jamani,function kama nne tofauti kwa wakati mmoja na panajitosheleza,
Nikagundua mashabiki wa Mzee Yusuph kumbe sio wanawake tu
Watu kwa raha zao ,ni usiku wa aina yake....
Haya ndio mambo ya mzee yusuph Jukwaani
Nichumu kibaoooo natirakatumba !! za hapa na pale jukwaani
Hii ndio safu kamili ya waimbaji wa Jahazi modern taarabu
Mkali Omary akisababisha

Bi Asimwe Katayahiya Kasimama!!!
Mdau Shukru wa Mama Chuni
Chockest ile mbayaaaa!!!
Unaambiwa..."Linaz Eshombaa"!!!
Jamaa haya ni Mastaa Pande za Kemondo Bay
Mdau Shamila Chanini hapa ndipo mahala pake.
Ufika mahala watu uselebuka mpaka basi hivi tu ni kwa ufupi.
Wapenzi wa Bukobawadau blogspot kama mnavyo jua mda huu nipo ukumbini nikijaribu kutupia kila kinacho papo kwa paho kwa lugha nyingine wanasema ni live ...yaani aliyepo ng'ambo ni sawa na aliyemo ukumbini hivyo najaribu kutoa maelezo kwa kila picha ila mda nao ni tatizo itafika mahala tutapitwa.
Anaonekana Mrs Ashraf wa pili kulia akitabasamu na Dada Rehema Kalumna wa pili kulia
Mfalme Mzee Yusuph na Mkewe wakiimba ntimbo yao mpya ilio wafanya mashabiki wengi kusikilizia kwanza
Katikati ni Mdau Bi Selina Godfrey Mwemezi
Naam...ni mambo ya Jahazi kila mtu ujiachia kimpango wake
Bi Amina Hamis na Bi Lily Goronga nao kama kawaida ndani ya Nyumba.
Wakati nachukua picha hii nawao wakanichukua pia ni meza aliyo kaa mdau Dada Teddy Mboto.
Anaonekana Dada Betty na Dada Teddy wakionyeshwa picha ya Mc baraka blogger wa bukobawadau.
New generation
Mama huyu ameongezana na vichanga,kwa kiasi flani ilinipa mguso wa moyo mimi kama mimi sijui wewe mdau.
Wadau mbalimbali kwa utulivu wa mwisho kushoto ni Mrs Gama
Kitu kingine au sera kubwa ya bukobawadau ni kujitaidi kuonyesha wadau mbalimbali nikiwa namaanisha picha za mgandokuonyesha tunazipa kipaumbele ili upate ladha tofauti,anaonekana Mama Mody kwa Nyuma na mwanae Faiza Salum.
Alamba!! alamba!!! alambaaaaa!!!!mpaka chini
Asikwambie mtu jamani Mzee Yusuph anapendwa Bukoba!!!
Hii ni hali ya kawaida kwa wapenzi na mashabiki wa Taarab
Uwezi kuamini huyu sio kilema hiyo ni mikato tu ya kimjini
Shughuli ilizua taflani mpaka kufikia hapa
Weeeeeh!!!tumedhubutu,tumeweza na tunasonga mbele.....!!
Uku na kule nikachungulia ndani kodogo ili kuona kinacho endelea nikiwa namaanisha Ukumbi wa disko wakati show bado inaendelea
Nakweli nikawa nimechungulia....mdau Asimwe viatu kuleeeeeeeeee!!!!
Wapenzi wa mipasho ususani wale wa Mzee yusuph aka Mfalme wakijipa raha kwa mbali unaweza kuwaona mashabiki wa Real Madrid wakigugumia ...uku soka likiendelea pia.
Pamoja na mzungu kuguswa na taarab bukobawadau tumeguswa na miwani hii pichani tena usiku
Wadau wakisikiliza Nyimbo mpya toka kwa waimbaji
Mr&mrs Hamza Itembwe ni sehemu ya wadau waliojitokeza
Baba Mzee kulia au Mr&mrs Bashiru Ngemela
Wanaonekana Bi Fatuma Chanini na Shamila Chanini wadau wakubwa wa mipasho hapa Bukoba mjini
Next Post Previous Post
Bukobawadau